Waziri wa zamani wa Afya katika Jamhuri ya Afrika ya Kati ambaye alikuwa muumini wa dini ya Kiislamu, siku ya Ijumaa alishambuliwa na wanamgambo wa Kikristo wa Anti Balaka, kwa kumkatakata kwa mapanga na mundu hadi kufariki dunia.
Habari ID: 1366496 Tarehe ya kuchapishwa : 2014/01/26